Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) iko Afrika ya Kati yenye mji mkuu wa Kinshasa. Ina utajiri wa madini, misitu na maji, lakini migogoro ya kivita mashariki imewakosesha mamilioni makazi na kurudi ...